Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, leo Novemba 1, 2018 amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza video ya ngono kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Wema amesomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mahira Kasonde ambapo amekana kosa hilo kisha kuachiwa kwa dhamana ya Sh. milioni 10 kupitia kwa Salim Limu.
Aidha, Wema ambaye alikuwa akiwakilishwa na wakili Reuben Simwanza, ametakiwa asiposti video au picha yoyote isiyo na maadili au inayoashiria ngono kwenye mitandao.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, mwaka huu.

Updates: Wema sepetu Kasomewa Shitaka Moja na Kuachiwa kwa Dhamana
Reviewed by mjtheaction
on
November 01, 2018
Rating:
No comments: