Mwigizaji na mlimbwende wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018.
Wema amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu kusubiri kusomewa mashtaka ya usambazaji wa picha za faragha mtandaoni
Amefikishwa mahakamani hapo akisindikizwa na polisi huku akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.
BREAKING NEWS: Wema Sepetu afikishwa Mahakama ya Kisutu Dar
Reviewed by mjtheaction
on
November 01, 2018
Rating:
No comments: