
Klabu ya simba inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara TPL imeijibu klabu ya Barcelona inayoshiriki ligi kuu nchi Hispania kufwatia ushindi wake walioupata kwa kuitandika Ruvu Shooting kwa jumla ya mabao 5-0
Mabao ya simba yakiwekwa kimyani na Okwi dakika ya 8, 53 na 77 mabao mengine mawili yaliwekwa kambani na Kagere pamoja na Adam Salamba. Barcelona nayo yaitandika Real Madrid jumla ya mabao 5-1.
SIMBA YAIJIBU BARCELONA
Reviewed by mjtheaction
on
October 28, 2018
Rating:
No comments: