
Kalabu ya Barcelona yatoka kifua mbele zidi ya maasimu wao wa jadi Real Madrid mara baada ya Barcelona kutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwa kumchakaza Real Madrid mabao 5-1.
Mabao ya Barcelona yaliwekwa wavuni na Philippe Coutinho (11’), Luis Suares (dk 30,75,83) huku Arturo Vidal akiweka msumari wa mwisho dakika ya 87’ huku bao la Real Madrid liliwekwa wavuni na Marcelo Vieira.
BARCELONA BILA MESSI YAICHAKAZA REAL MADRID BILA RONALDO 5-1
Reviewed by mjtheaction
on
October 28, 2018
Rating:
No comments: