Ikiwa ni siku mbili tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rayvanny achukue maamuzi magumu ya ku-block wimbo wake usitazamweTanzania baada ya kuamriwa kufanya hivyo na BASATA, hatimaye msanii huyo ameurudisha tena wimbo huo kwenye mtandao wa YouTube.
Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka Basata wala kwa Lebo ya WCBambayo inammiliki msanii Rayvanny kuhusiana na video hiyo.
Video ya Mwanza mpaka wakati huu ni Trending namba Youtube huku ikiwa na watazamaji zaidi ya million 2.4 kwa muda wa siku tano.
Video ya Mwanza mpaka wakati huu ni Trending namba Youtube huku ikiwa na watazamaji zaidi ya million 2.4 kwa muda wa siku tano.
Rayvanny na Diamond wairudisha video ya wimbo wao wa Nyegezi- Mwanza Youtube
Reviewed by mjtheaction
on
November 16, 2018
Rating:
No comments: