Staa wa Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta ameitoa kimasomaso timu hiyo katika michuano ya Europa League baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-2, dhidi ya Besiktas ya Uturuki.
SAMATTA ADHIHIRISHA UWEZO WA WATANZANIA KATIKA MIDANI YA SOKO ULAYA.
Reviewed by mjtheaction
on
October 26, 2018
Rating: 5
No comments: