
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu leo baada ya kuitwa kuhojiwa na Bodi ya Filamu Tanzania kuhusu kusambaa kwa picha zake za faragha kwenye mitandao ya kijamii, Imeamua kumfungia msanii huyo kujishughulisha na mambo ya filamu kwa muda usijulikada
Hii ni mpaka pale watakapojilizisha na mwenendo wake.
ATIMAYE WEMA SEPETU AFUNGIWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Reviewed by mjtheaction
on
October 27, 2018
Rating:
No comments: